OMS Tax Solution

OMS Tax Solution

Share

Turning Tax Knowledge into Financial Freedom.

07/02/2026

πŸŽ‰ KARIBU OMS TAX SOLUTION LLC πŸŽ‰

Katika OMS Tax Solution, tunaamini kuwa uhuru wa kifedha huanza kwa maarifa.

Dhamira yetu ni rahisi,

Kubadilisha ujuzi wa Tax kuwa uhuru wa kifedha.

Tunatoa huduma zifwatazo

βœ… Maandalizi ya tax za watu binafsi
βœ… Huduma za tax za biashara ndogo
βœ… Ushauri na mipango ya tax
βœ… Elimu ya kifedha
βœ… Msaada wa mwaka mzima

Lengo letu si kujaza TAX pekee, bali kuwasaidia watu binafsi, familia, na biashara kujenga utulivu wa kifedha kupitia elimu, huduma za kuaminika, na maamuzi sahihi ya kifedha.

Tunawashukuru wote wanaotuunga mkono katika safari hii.

πŸ“ Wichita, Kansas
πŸ“ž (316) 365-2410
πŸ“§ [email protected]

OMS Tax Solution LLC
Kubadilisha ujuzi wa tax kuwa uhuru wa kifedha.

Want your business to be the top-listed Accountant in Wichita?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address


568 S Oliver Street
Wichita, KS
67226

Opening Hours

Monday 9am - 6pm
Tuesday 9am - 6pm
Wednesday 9am - 6pm
Thursday 9am - 6pm
Friday 9am - 6pm