25/08/2026
Mawlid AL NABI Mubarak.
Ecla Africa Consult is a Tanzania based consulting firm established with the aim of providing solution to various corporate problems.
25/08/2026
Mawlid AL NABI Mubarak.
10/08/2026
ECLA Africa Consult tunatangaza kuwa usaili kwa nafasi ya Msaidizi wa Huduma za Ofisi (Upishi na Usafi) utafanyika tarehe 14 – 15 Agosti 2026.
Waliochaguliwa wameshatumiwa barua pepe. Tafadhali angalia email yako.
Kwa maelezo zaidi: [email protected] | 0763417108
08/08/2026
Tunawatakia heri ya sikukuu ya nanenane.
29/07/2026
📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Nafasi: Msaidizi wa Huduma za Ofisi - Mwanamke
Majukumu Makuu:
1. Kudumisha usafi wa ofisi na mazingira yake
2. Kuandaa chakula cha wafanyakazi na kusimamia shughuli za jikoni
3. Kusimamia chumba cha kumbukumbu na uwekaji kumbukumbu
4. Kufanya uchapaji, udhibiti wa vifaa vya ofisi na usambazaji wa nyaraka
5. Kusimamia usafirishaji wa posta na ukaribishaji wa wafanyakazi na wageni
Sifa za Mwombaji:
1. Cheti cha Kidato cha Nne
2. Uzoefu wa upishi na usafi maofisini
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam
Tarehe ya Mwisho ya Maombi: 31 July 2026
Waombaji wenye sifa watume maombi yao kwa: [email protected]
0763417108 ( Tuma message usipige simu) Ambatanisha .
1. Barua ya Maombi
2. CV
28/07/2026
📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI
Nafasi: Msaidizi wa Huduma za Ofisi - Mwanamke
Majukumu Makuu:
1. Kudumisha usafi wa ofisi na mazingira yake
2. Kuandaa chakula cha wafanyakazi na kusimamia shughuli za jikoni
3. Kusimamia chumba cha kumbukumbu na uwekaji kumbukumbu
4. Kufanya uchapaji, udhibiti wa vifaa vya ofisi na usambazaji wa nyaraka
5. Kusimamia usafirishaji wa posta na ukaribishaji wa wafanyakazi na wageni
Sifa za Mwombaji:
1. Cheti cha Kidato cha Nne
2. Uzoefu wa upishi na usafi maofisini
Mahali pa Kazi: Dar es Salaam
Tarehe ya Mwisho ya Maombi: 31 July 2026
Waombaji wenye sifa watume maombi yao kwa:
[email protected]
0763417108 ( Tuma message usipige simu)
Ambatanisha .
1. Barua ya Maombi
2. CV
07/07/2026
Wishing you Happy Sabasaba Day.
27/05/2026
Wishing you eid mubarak
08/05/2026
Tech is evolving. Careers are shifting.
To stay ahead, professionals must sharpen their skills, not only for themselves but for the firms they serve.
That’s why ECLA Africa Company brings transformative trainings to the table. We were excited to host Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) in their skill development journey.
05/05/2026
Currently attending a hands-on training on financial analysis and IPSAS-compliant financial statement preparation using advanced Excel 📊💻
📍 Royal Village Hotel, Dodoma
| Monday | 08:00 - 17:00 |
| Tuesday | 08:00 - 17:00 |
| Wednesday | 08:00 - 17:00 |
| Thursday | 08:00 - 17:00 |
| Friday | 08:00 - 17:00 |