20/09/2019
Je, unawezaje kuhairisha mtihani wa CPA?
Je, unawezaje kuhairisha mtihani wa CPA? - Eminent Consultants
Mtahiniwa wa CPA anaweza kuhairisha kufanya mtihani kutokana na sababu mbalimbali. maombi ya kuhairisha mtihani yanapaswa kupelekwa kwenye bodi ya uhasibu.
30/08/2019
Zijue taratibu za kufanya Mtihani wa CPA.
Zijue taratibu za kufanya Mtihani wa CPA. - Eminent Consultants
Kwa kawaida bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) uendesha mitihani ya aina 2 ya CPA. Mitihani hiyo ni Accounting Technician na Professional examination scheme
23/08/2019
Kozi za CPA kwa siku za Wikiendi
Kozi za CPA kwa siku za Wikiendi - Eminent Consultants
Kozi za CPA kwa masomo mbalimbali bado zinaendelea kwenye madarasa ya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Ilala Jijini Dar es salaam.
20/08/2019
Msamaha wa mitihani ya CPA kutoka bodi ya Uhasibu kwa Taasisi zake.
Msamaha wa mitihani ya CPA kutoka bodi ya Uhasibu kwa Taasisi zake. - Eminent Consultants
Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) kwa kuzingatia weledi wa taaluma yake huwa inatoa baadhi ya msamaha (Exemptions) kwenye mitihani ya CPA.
16/08/2019
Ratiba nzima ya CPA Exam review Classes hii hapa
Ratiba nzima ya CPA Exam review Classes hii hapa - Eminent Consultants
Eminent Financial Consultants wanaendelea na ufundishaji wa kozi za CPA kwenye madarasa ya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, Ilala, Jijini Dar es salaam.
13/08/2019
Hizi ndizo sifa za kusoma CPA (T) kwa wahitimu mbalimbali
Hizi ndizo sifa za kusoma CPA (T) kwa wahitimu mbalimbali - Eminent Consultants
CPA ni kifupi cha “Certified Public Accountant” ikiwa na maana ya Mhasibu aliyekidhi vigezo vya taaluma ya uhasibu katika nchi mbalimbali.
09/08/2019
Eminent Financial Consultants na ujio wa Online Courses
Eminent Financial Consultants na ujio wa Online Courses - Eminent Consultants
Eminent sasa imeandaa mpango maalumu wa kuwa na mfumo wa utoaji kozi zake mtandaoni, yaani ufundishaji wa kozi kwa njia ya Mtandao (Online Course)
19/07/2019
Je, una elimu ya chini na umewahi kutamani kuwa mMasibu?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa ni kiwango gani cha elimu kinatosha kuwa Mhasibu? Ni wazi kuwa hili ni swali linalogonga kwenye vichwa vya watu wengi sana.
Jibu ni moja tu, unaweza kutimiza ndoto yako hata k**a una elimu ya darasa la 7. Karibu tutatue tatizo lako.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea makala yetu kwa kubofya kiungio kwenye BIO yetu au tupigie kupitia namba +255653419270
16/07/2019
Je, inagharimu kiasi gani kusoma kozi za CPA (T)? - Eminent Consultants
CPA ni kifupi cha “Certified Public Accountant” ikiwa na maana ya Mhasibu aliyekidhi vigezo vya taaluma ya uhasibu katika nchi mbalimbali.
02/07/2019
Je, unapata shida kuhusu sheria za kodi nchini? - Eminent Consultants
Kwa kuzingatia wat kukosa elimu juu ya kodi Eminent Financial Consultants wamejidhatiti kufundisha kozi mbalimba zinazohusiana na sheria za kodi nchini.
01/07/2019
CPA Exam Review Classes kuanza rasmi 3, July 2019 - Eminent Consultants
Siku 2 zikiwa zimesalia kabla ya kuanza kwa CPA Exam Review Classes for Intermediate level and Final level. Wahi sasa kujiandikisha na kozi hizi