Yetu Microfinance Bank Plc

Yetu Microfinance Bank Plc

Share

A bank dedicated to provide financial services to the unbanked and under banked people of Tanzania.

Yetu Microfinance Bank PLC, a bank dedicated to provide financial services to the unbanked and under banked people of Tanzania. Yetu Microfinance bank was born out of the transformation of Youth Self Employment Foundation (YOSEFO), an NGO which was established in 1997 and successfully managed microfinance business on a sustainable basis

01/08/2022

Happy new month

15/07/2022

Karibu upate mkopo wa haraka wa pikipiki za HERO HUNTER kutoka Yetu Microfinance Bank PLC kwa kutanguliza kiangizio cha shillingi 500,000 tu utapata pikipiki ndani ya siku 4 tu za kazi. Kwa maelezo zaidi tupigie 0782533650. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

11/07/2022
08/07/2022

Karibu tukuhudumie

16/06/2022

Siku ya mtoto wa Africa inasherehekewa tarehe 16 mwezi wa sita kila mwaka tangu mwaka 1991. Baada ya kuteuliwa na Umoja wa Afrika (Organization African Unity) katika kuenzi michango ya watoto walioshiriki katika maandamano katika mji wa Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976. Pamoja na kujengea jamii uelewa juu ya umuhimu wa elimu bora kwa watoto.

Sisi k**a Yetu bank tunaungana na jamii nzima kwa ujumla kuadhimisha siku hii. Watoto wana haki na ni wajibu wetu kutimiza haki zao.

13/06/2022

Benki pekee kwa wote

17/05/2022

Ni Account Ya Muda Maalum (FIXED DEPOSIT) kutoka YETU BANK. Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na upate faida maradufu.


Want your business to be the top-listed Accountant in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address


Mkunazini Building, Kidongo Chekundu
Dar Es Salaam
75379

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:30
Tuesday 08:00 - 17:30
Wednesday 08:00 - 17:30
Thursday 08:00 - 17:30
Friday 08:00 - 17:30
Saturday 08:00 - 13:00