YabiKalam Page

YabiKalam Page

Share

💹Financial Eductor • Public speaker
💰Educating Youth on Financial Literacy and Discipline
🪙 Discipline | Money | Focus
CEO & Founder - MOY Group LTD.

Co-founder - WealthCraft Tz
Real Yabi Kalam

#TheClassicCEO | #TheGoldfish

05/01/2026

Usijaribu kuchukua mkopo wa kiwango Cha Fedha ambacho Binafsi hujawahi kukitengeza 🙅‍♂️

05/01/2026

Mambo matatu muhimu kuyafahamu kuhusiana na Pesa 💰

Photos from YabiKalam Page's post 03/01/2026

Mkopo sio mbaya. Uamuzi mbaya ndio tatizo. Ukikopa ili uonekane vizuri- utalia kimya. Ukikopa ili ujenge mfumo- future yako itakushukuru.

09/11/2025

Iko hivi.. ukifanikiwa kufikia au kupata kile unachokipanga basi ni mapenzi ya Mungu yako juu yako, na ukishindwa kufikia au kupata kile unachokipanga basi ulinzi wa Mungu upo juu yako... Bila kuchoka ndugu zangu

08/11/2025

Want your business to be the top-listed Accountant in Mwanza?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Tanzanian
Mwanza