03/07/2026
Vijana tunaweza ..kikubwa tudumishe amani ili tufikie maendeleo yetu tunayoyapambania ..tujitaidi kuishi kwenye uhalisia na sio hisia.
VIJANA PLATFORM HALMASHAURI Ipo katika mikono salama na ata Mkimbiza mwenge kitaifa Ndg: Mwang'Onda alitambua hilo na sasa nikazi kazi vijana tukutane site tuyajenge tanzania ni yetu soteππππππ@ academy@ #
@ @ #
@ ya maendeleo ya vijana@ #
28/06/2026
"Katika Maisha na maswala ya kifedha na uchumi usiongozwe na hisia bali uhalisia" ..By CFE.justine opola ,Mtendaji mkuu Mount kibo saccos na Mwenyekiti wa Vijana Platform Halmashauri ya Wilaya ya Moshi@ @ # Vijanaplatform Moshi@ #
25/06/2026
Namshukuru Mungu na uongozi mzima wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi (V) kwa kuniona ninastahili kuwa mtoa mada kwenye tukio hili kubwa la Vijana platform .
Karibuni tupeane mwanga na mbinu za kuifanya fedha itufanyie kazi na sio sisi kuifanyia kazi fedha.βοΈππππBy CFE.Justine Opola
20/06/2026
Wafuasi wangu wote wa # financial Academy #@ msipange kukosa kunifatilia live bila chenga na tutakumbushana mambo mengi sana....je wajua unatakiwa mkopo unaokopa isizidi asilimia ngapi ya kipato chako cha mwezi?? Au wewe unakopa tu??πππ Basi yote haya utayajua leo
30/05/2026
Je mkopo ni nzuri au mbaya kwa mtu anaeanza biashara au uwekezaji ???
Naomba mawazo ili tushauriane namna nzuri ya kukopa
By CFE.Opola
08/05/2026
Msaidizi wa kweli kwa wenye ndoto ya kukumbukwa duniani ni Mount kibo SACCOS LTD..karibu sana ujiunge ποΈποΈ