Ni Taasisi ya kifedha inayojishughulisha na utoaji Mikopo kwa watumishi wa Umma na baadhi ya makampuni binafsi yaliyoidhinishwa.