07/01/2026
Deadline za Kodi zinakusumbua?
Usisubiri mpaka TRA wakupige adhabu.
Wafanyabiashara wengi hupata stress si kwa sababu biashara haifanyi vizuri, bali kwa sababu kodi hazijasimamiwa kitaalamu.
👉 Usijilaumu peke yako.
PrimEdge Accounting & Tax Services ipo kukusaidia kupanga, kuwasilisha na kusimamia kodi zako kwa usahihi na kwa wakati.
📞 Wasiliana nasi leo 0741 243 441
amani ya moyo haina bei.
24/10/2025
Biashara imara huanza na mahesabu sahihi!
PrimEdge tunakusaidia kupanga fedha zako, kodi, na taarifa za kifedha kwa usahihi na uaminifu.
Usiache bahati ya biashara yako iende ovyo,pata mpangilio leo!
📞 Wasiliana nasi sasa kujua zaidi.
0741 243 441
04/09/2025
Unajua? Kudumisha kumbukumbu sahihi za kifedha (bookkeeping) hukusaidia kujua hasara na faida ya biashara yako kwa wakati.
PrimEdge tunakusaidia kuandaa vitabu vya mahesabu kwa usahihi na weledi
25/08/2025
Je, biashara yako inahitaji taarifa sahihi za kifedha ili kufanya maamuzi bora?
PrimEdge Accounting & Tax tunakusaidia na Bookkeeping, Tax Compliance na Advisory.
Sahihi. Kwa wakati. Kwa ufanisi.
📞 Wasiliana nasi leo: 0741 243 441
19/08/2025
Je, unajua?
Kuwa na taarifa sahihi za kifedha kunaongeza nafasi yako ya kuaminika kwa benki na taasisi zingine za fedha.
Usingojee hadi matatizo ya kodi yakukute.
👉 Wasiliana na PrimEdge Accounting and Tax Services leo.
+255 741 243 441
15/08/2025
Hello and a warm welcome to the official page of PrimEdge your trusted partner for professional, reliable, and affordable accounting and tax services in Tanzania.
We help businesses, organizations, and individuals with:
✅ Business Accounting
✅ Tax advisory & TRA compliance services
✅ Payroll processing
✅ Financial statement preparation
✅ Audit support services
Our goal is to keep your business organized, compliant, and growing with confidence.
📞 Contact us today: +255 243 441
📍 Located in Ilala, Dar es Salaam – but we serve clients anywhere!
PrimEdge – Your Trusted Financial Partner 💼