TPK - Tukue Pamoja Kiuchumi

TPK - Tukue Pamoja Kiuchumi

Share

My goal is to empower people to achieve financial independence.

I help youth, individuals, and small business owners gain control over their finances through training, coaching, and practical tools on budgeting, saving, and investing.

10/11/2025

Start investing now so you will have your investment paying your bills in the near future
Contact me for investment consultancy

30/08/2025

Uwekezaji ni mradi wa muda mrefu , uwekezaji ni sawa na kupanda mbegu ambayo itakuzalia matunda baada ya miaka 3 , 5 ,10 hata 20.
Sasa mtu aliyepanda mbegu hawi na tabia ya kuifukua kila siku kuangalia inaendeleaje basi huendelea kuimwagilia na kupalilia hata kabla ya mti kuchomoza na kuanza kutoa matunda
Be a good investor

12/08/2025

Kiufupi sana kuhusu uwekezaji katika shares

23/07/2025

Umewekeza au kuna hela umeilaza mahali?

23/07/2025

Wewe una assets au Liabilities? Hebu sikiliza mpk mwisho kisha comment k**a una assets au Liabilities

22/07/2025

Dah , sasa Watu watanionaje aisee

21/07/2025

Master this one skill and you will be successful

15/07/2025

K**a unataka kufanikiwa kuwa tayari kufanya yafuatayo
# #

14/07/2025

Hii ndio sababu kwanini watu wanapambana kuwekeza

12/07/2025

makundi ya mitazamo kuhusu saving na investment, we upo kundi gani kati ya haya makundi?











Want your business to be the top-listed Accountant in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
83