Fedha. Malengo. Utulivu.
Miaka 11 ya Elimu na Ushauri.
Fedha na Malengo
Elimu na ushauri wa usimamizi na udhibiti wa fedha binafsi, akiba na uwekezaji ili kufikia malengo. Penye nia pana njia.
Fedha na Malengo ni ukurasa unaotoa mwongozo wa mikakati ya kuweka akiba na uwekezaji kwa kutathmini vipaumbele mbalimbali ili kuweza kufikia malengo muhimu ya muda mfupi na muda mrefu. Nia ni kuongeza ufahamu kwa waajiriwa na waliojiajiri ili kuwezesha watu wengi zaidi kufurahia matunda ya juhudi zao. Kwa kuweka mikakati thabiti mtu yeyote mwenye kipato chochote anaweza kuianza safari ya kufikia
Kanuni za uwekezaji:
Anza mapema, anza sasa hivi. Unavyozidi kuchelewa ndivyo faida ambayo ingepatikana inavyozidi kupungua.
Whatsapp 0755410000
Uhuru wa kifedha unapatikana kwa wanaojielimisha kuhusu masuala ya fedha na kuifanyia kazi elimu hiyo.
Whatsapp 0755 410 000
Kanuni za uwekaji akiba:
Hakikisha unaweka akiba ya dharura
Whatsapp 0755410000
Kanuni za uwekaji akiba:
Lipa madeni yenye riba kubwa kwanza
Whatsapp 0755410000
Kanuni za uwekaji akiba:
Amua asilimia ngapi ya kipato itawekwa akiba kila upatapo
Whatsapp 0755410000
Kanuni za uwekaji akiba:
Tenga akiba kwanza kabla ya kuanza kutumia kipato
Whatsapp 0755410000
Kanuni za uwekaji akiba:
Weka akiba kila upatapo fedha
Whatsapp 0755410000
Kanuni za uwekaji akiba:
Anza kuweka akiba hata k**a ni kiasi kidogo
Whatsapp 0755410000
Tofauti kubwa kati ya akiba na uwekezaji ni katika kiwango cha faida na pia kiwango cha hatari kinachoweza kupelekea hasara ya mtaji.
Whatsapp 0755 410 000
Akiba sio uwekezaji bali ni mwanzo wa safari ya kuelekea kwenye uwekezaji.
Whatsapp 0755410000
Akiba kwa kawaida ni salama haina hasara kubwa lakini ina faida ndogo sana. Uwekezaji una faida kubwa lakini pia faida hii inaambatana na hatari ya uwezekano wa kupata hasara.
Whatsapp 0755410000
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Arusha